MAMBO YATAKAYOTOKEA ISRAELI SIKU ZA HIVI KARIBUNI.
Ishara kubwa Bwana Yesu aliyowapa wanafunzi wake ambayo kwa hiyo waliambiwa watakapoiona basi wajue kuwa “muda wa mavuno umekaribia” ni ishara ya MTINI. tukisoma Mathayo 24:32 inasema “Basi KWA MTINI JIFUNZENI mfano; tawi lake likiisha kuchipuka na kuchanua majani, mwatambua ya kuwa wakati wa mavuno u karibu; 33 nanyi kadhalika, myaonapo hayo yote, tambueni ya … Continue reading MAMBO YATAKAYOTOKEA ISRAELI SIKU ZA HIVI KARIBUNI.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed