NJAA IPO?, USIACHE KULA ASALI.

NJAA inaficha uchungu wa kitu, mtu mwenye njaa hata akipewa mboga iliyochungu kiasi gani, bado ataiona ni tamu tu, kwasababu NJAA ipo ndani yake, lakini kwake yeye aliyeshiba, hata chakula kiungwe kwa viungo vingi kiasi gani bado ataona tu kuna kasoro nyingi ndani yake..Ni kwasababu njaa haipo ndani yake. Unaweza ukajiuliza ni kwanini Neno la … Continue reading NJAA IPO?, USIACHE KULA ASALI.