DAMU YA YESU INANENAJE MEMA KULIKO YA HABILI?

Je Damu ya yesu inanenaje mema kuliko ya habili?..Nini madhara ya kuidharau sauti ya Damu ya thamani ya Yesu Kristo? Shalom! karibu tujifunze Neno la Mungu kwa pamoja, Leo tutajifunza juu ya damu ya YESU kwa ufupi. Naamini utaongeza kitu juu ya vile ulivyojaliwa kuvijua na Bwana.. Tukisoma katika kile kitabu cha Mwanzo, tunamsoma Kaini … Continue reading DAMU YA YESU INANENAJE MEMA KULIKO YA HABILI?