KWANINI TUWE WENYE BUSARA KAMA NYOKA?
Mathayo 10:16 “Angalieni, mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwa-mwitu; basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua.” Sentensi hiyo imekuwa ikiwatatiza wengi, wakijiuliza ni kwanini Bwana YESU alisema maneno kama hayo: IWENI NA BUSARA KAMA NYOKA. Kwani nyoka anayobusara gani, kwanini hapo asingesema iweni na busara kama simba au mnyama … Continue reading KWANINI TUWE WENYE BUSARA KAMA NYOKA?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed