YESU MPONYAJI.

Zamani nilipokuwa mdogo nilikuwa ninasikia Yesu ni mponyaji! Yesu ni mponyaji! Lakini sikuwahi kufikiria kama angeweza kuja kuniponya mtu kama mimi. Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2004, siku moja nilipokaa na kufungua redio mida ya usiku mtumishi mmoja alikuwa anahubiri, na baada ya kumaliza mahubiri yake alisema ikiwa unaumwa na unataka uponyaji shika sehemu unayoumwa nami … Continue reading YESU MPONYAJI.