Jina la Bwana wetu Yesu Kristo lihimidiwe! Karibu tujifunze pamoja Neno la Mungu ambapo leo tutajifunza juu ya KARAMA ILIYO KUU. Kama maandiko yanavyosema katika kitabu cha wakorintho.. 1 Wakorintho 12: 28 “Na Mungu ameweka wengine katika Kanisa, wa kwanza mitume, wa pili manabii, wa tatu waalimu, kisha miujiza, kisha karama za kuponya wagonjwa, na … Continue reading KARAMA ILIYO KUU.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed