KUNDI LA MALAIKA WALETAO MABAYA.

Pale tu mtu anapogeuka na kuacha maisha yake ya dhambi, na kukusudia kutoka rohoni kumfuata Kristo siku zote za maisha yake, kisha akabatizwa katika ubatizo sahihi wa maji mengi na kwa jina la YESU KRISTO kama biblia iagizwavyo kwa ajili ya ondoleo la dhambi zake (Matendo 2:38), basi kuanzia huo wakati na kuendelea Mungu humpa … Continue reading KUNDI LA MALAIKA WALETAO MABAYA.