WAKINYAMAZA HAWA, MAWE YATAPIGA KELELE.

Luka 19: 37 “Hata alipokuwa amekaribia matelemko ya mlima wa Mizeituni, kundi zima la wanafunzi wake walianza kufurahi na kumsifu Mungu kwa sauti kuu, kwa ajili ya matendo yote ya uwezo waliyoyaona, 38 wakasema, Ndiye mbarikiwa Mfalme ajaye kwa jina la Bwana; amani mbinguni, na utukufu huko juu. 39 Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa katika mkutano … Continue reading WAKINYAMAZA HAWA, MAWE YATAPIGA KELELE.