MAMBO YA KUJIFUNZA KATIKA WARAKA WA PILI WA YOHANA.

Tukiachilia mbali ule waraka wa kwanza ambao Mtume Yohana aliuandika kwa watu wote, zile nyaraka mbili za mwisho zilizosalia hakuzielekezwa kwa watu wote, bali kwa watu husika, na tunaona ndio zimekuwa nyaraka fupi kuliko zote katika biblia nzima, lakini zimebeba ujumbe wa msingi sana, kwa makundi ya watu waliozungumziwa huko..Kwa mfano kama tukiutazama ule waraka … Continue reading MAMBO YA KUJIFUNZA KATIKA WARAKA WA PILI WA YOHANA.