NI NANI ANAYEUFUNGA MLANGO WA MAARIFA?.

Wakati nikiwa shule ya msingi, kuna mwalimu mmoja aliyetufundisha somo lijulikanalo kama “stadi za kazi”, mwalimu huyu wanafunzi wote tulimpenda sana kwasababu alikuwa tofauti kidogo na walimu wengine, kwani yeye kila alipokuwa akija darasani, alituambia watoto tumchangie hela ya karanga atutoe nje michezoni (lakini kiukweli hakuitumia kwa karanga bali alikwenda kununulia pombe).Na kama unavyojua watoto … Continue reading NI NANI ANAYEUFUNGA MLANGO WA MAARIFA?.