RABONI!

Shalom mpendwa, karibu tujifunze Maneno ya Uzima. Kama tukifakari kwa ukaribu matukio yaliyokuwa yanatokea baada ya Bwana wetu Yesu kufufuka, tutaona siri nyingi sana zimejificha ndani yake, kwamfano embu leo tuitazame siku ile ya kwanza kabisa ya Juma (Jumapili alfajiri), ambayo Mariamu Magdalene aliamka mapema sana kuliko hata watu wengine wote na kwenda kaburini kwa … Continue reading RABONI!