LULU YA THAMANI.

Shalom, Mtu wa Mungu karibu tujifunze Neno la Mungu, ambapo leo kwa Neema za Bwana tutajifunza kwa sehemu juu ya ufunuo uliopo katika ufalme wa Mbinguni. Biblia inasema katika.. Mathayo 13.45 ‚ÄúTena ufalme wa mbinguni umefanana na mfanya biashara, mwenye kutafuta LULU NZURI; 46 naye alipoona lulu moja ya thamani kubwa, alikwenda akauza alivyo navyo … Continue reading LULU YA THAMANI.