KWANINI NABII ISAYA ALIAGIZWA KUHUBIRI UCHI?

Habari hiyo tunaipata katika kitabu cha Isaya 20: 1-6 “1 Katika mwaka ule jemadari Yule alipofika Ashdodi,alipotumwa na Sargoni mfalme wa Ashuru;naye alipigana na Ashdodi akautwaa. 2 wakati huo Bwana alinena kwa kinywa cha Isaya,mwana wa Amozi, akisema, Haya, uvue nguo ya magunia viunoni mwako, na viatu vyako miguuni mwako. 3 Naye akafanya hivyo akaenda … Continue reading KWANINI NABII ISAYA ALIAGIZWA KUHUBIRI UCHI?