MAMBO (2) YATAKAYOKUTENGA NA IMANI SIKU HIZI ZA MWISHO.
1 Timotheo 4 :1 “Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani;” Mwanzoni nilipokuwa ninausoma huu mstari nilidhani kuwa itafikia kipindi watu watauchukia ukristo na kugeukia imani nyingine, labda uislamu au kama sio hivyo basi watageuka na kuwa wapagani moja kwa moja, lakini … Continue reading MAMBO (2) YATAKAYOKUTENGA NA IMANI SIKU HIZI ZA MWISHO.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed