MAANA YA KUISHI NA MKE KWA AKILI.
Shalom. Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe. Neno la Kristo linasema: 1 Petro 3:7 “Kadhalika ninyi waume, KAENI NA WAKE ZENU KWA AKILI; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.” Agizo hilo biblia iliyotoa linawahusu wanaume waliooa , na si … Continue reading MAANA YA KUISHI NA MKE KWA AKILI.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed