Shalom mtu wa Mungu, karibu tujifunze tena maneno ya Mungu. Kama wengi wetu tunavyojua kuwa, siku ya Bwana inakuja, siku ya hukumu yake ambapo Bwana atauhukumu ulimwengu kwasababu ya ubaya wake..(Isaya 13:11 inasema hivyo) Na katika siku ya Mwisho,wafu wote watafufuliwa na Kiti cheupe cha Hukumu kitawekwa na Yesu Kristo ataketi juu yake, na kila … Continue reading MWEZI NI ISHARA GANI KWETU?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed