UTAWALA WA MIAKA 1000.

Shalom mtu wa Mungu, karibu tujifunze maandiko matakatifu, kama Biblia inavyosema katika Zaburi 119:105 “ Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu.”..Ikiwa na maana Neno la Mungu ni mwongozo wetu, tukilijua Neno la Mungu hata tukikosa vitu vingine vyote bado tutaishi. Amen. Leo tutajifunza juu ya utawala wa miaka 1000. … Continue reading UTAWALA WA MIAKA 1000.