UFUNUO: Mlango wa 16.

Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe…Karibu katika mwendelezo wa kitabu cha Ufunuo, ambapo leo tutaitazama ile sura ya 16, ya kitabu hichi, Ni vizuri kama hujapita sura za nyuma ungeanza kwanza kuzipita hizo ili uweke msingi mzuri wa kuzielewa sura zinazofuata. Katika sura hii ya 16, habari kuu tunayoina ni juu ya vitasa 7, … Continue reading UFUNUO: Mlango wa 16.