MPENDE JIRANI YAKO KAMA NAFSI YAKO.
Luka 10: 25 “Na tazama, mwana-sheria mmoja alisimama amjaribu; akisema, Mwalimu, nifanye nini ili niurithi uzima wa milele? 26 Akamwambia, Imeandikwa nini katika torati? Wasomaje? 27 Akajibu akasema, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote; na jirani yako kama nafsi yako. 28 Akamwambia, … Continue reading MPENDE JIRANI YAKO KAMA NAFSI YAKO.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed