KWANINI YESU ALIMUITA BABA YAKE “ABA”?

Hili Neno Aba kwa mara ya kwanza katika biblia lilisikika likitamkwa na Bwana wetu Yesu, Hili ni Neno la Kiaremi(Aramiac), moja ya lugha ambayo Bwana Yesu alionekana akiizungumza mara kwa mara, maneno mengine yaliyorekodiwa ambayo Yesu alionekana akiyatamka yanayotokana na lugha hii hii ni pamoja na “Talitha kumi (Marko 5:41), Efatha (Marko 7:34), Eloi Eloi lama sabakthani (Mathayo 27:46) na … Continue reading KWANINI YESU ALIMUITA BABA YAKE “ABA”?