MWE NA HASIRA, ILA MSITENDE DHAMBI.

Shalom Mtu wa Mungu, karibu tujifunza Maandiko..Leo kwa Neema za Bwana tutajifunza kwa ufupi juu ya HASIRA YA KIMUNGU…Tusome Mstari ufuatao kabla ya kuendelea ambao utatusaidia kuelewa kiini cha somo letu. Waefeso 4:26 ‘Mwe na hasira, ila msitende dhambi; jua lisichwe na uchungu wenu bado haujawatoka;’’ Ukisoma mstari huu kwa haraka haraka ni rahisi Kuchanganyikiwa na kufikiri … Continue reading MWE NA HASIRA, ILA MSITENDE DHAMBI.