SIKUKUU 7 ZA KIYAHUDI ZINAFUNUA NINI KWETU?

Baada ya wana wa Israeli kutoka Misri na kuingia katika nchi yao ya ahadi Mungu aliwaagiza wazishike zile sikukuu 7 muhimu kama sikukuu za Bwana