UFUNUO: Mlango wa 11

Karibu katika mwendelezo wa kitabu cha Ufunuo, biblia inasema “Heri asomaye na wao wayasikiao maneno ya unabii huu,”. Heri maana yake ni amebarikiwa, hivyo umebarikiwa wewe ambaye unakiu ya kufahamu maarifa yaliyomo katika kitabu hichi cha Ufunuo, wengi hawakipendi, wengine wanakiogopa kwasababu kimebeba hukumu nyingi lakini pia wafahamu kitabu hiki kimebeba Baraka nyingi kwa yeye asomaye … Continue reading UFUNUO: Mlango wa 11