AGANO LAKO LINABEBWA NA NANI?.
Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe daima. Ni siku nyingine tena Mungu wetu katuangazia jua lake, Hivyo ni vizuri pia tukichukua muda mchache kuyatafakari maneno yake ya uzima. Somo la leo linauliza je! agano lako linabebwa na Nani.? Wana wa Israeli walipokuwa Jangwani, Mungu alifanya nao agano, Na agano lenyewe ndio ile torati ambayo Mungu … Continue reading AGANO LAKO LINABEBWA NA NANI?.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed