JE! UKRISTO UNAMPA MTU DHAMANA YA KUWA TAJIRI?

Jina la mwokozi wetu Yesu Kristo litukuzwe daima, Natumaini Mungu amekupa neema ya kuiona siku ya leo, hata mimi pia, hivyo ni vizuri wote tukashiriki neema hizi pia tukamshukuru kwa kujifunza Neno lake. Watu wengi sana hususani kwa wakati huu tunaoishi wanafahamu au wanafundishwa kuwa Ukija kwa Kristo ni lazima uwe tajiri, Ibrahimu alibarikiwa, Isaka … Continue reading JE! UKRISTO UNAMPA MTU DHAMANA YA KUWA TAJIRI?