MUUNGANO WA DINI NA MADHEHEBU YOTE, UMEKARIBIA.

Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze biblia. Bwana Yesu alituonya katika Mathayo 24:3 “Hata alipokuwa ameketi katika mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamwendea kwa faragha, wakisema, Tuambie, mambo hayo yatakuwa lini? Nayo ni nini dalili ya kuja kwako, na ya mwisho wa dunia? 4 Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye. 5 Kwa sababu wengi watakuja kwa … Continue reading MUUNGANO WA DINI NA MADHEHEBU YOTE, UMEKARIBIA.