MUNGU KUSEMA NA WEWE PEKEE, HAITOSHI KUKUPA USHINDI.
Tukisoma kitabu cha Waamuzi ile sura ya 19, tunaona habari ya mtu mmoja Mlawi ambaye alikuwa na suria wake mzinifu, Hiyo pekee haikutosha yule suria aliondoka na kurudi nyumbani kwa baba yake, Lakini kwa jinsi Yule mtu alivyokuwa anampenda Suria wake miezi minne ilipoisha alifunga safari kutoka mjini kwake na kwenda kumfuata nyumbani kwa baba yake ili kumsihi … Continue reading MUNGU KUSEMA NA WEWE PEKEE, HAITOSHI KUKUPA USHINDI.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed