MWISHO WA HAO WAMSAHAUO MUNGU.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe daima, karibu tujifunze maneno ya uzima, Kama tunavyofahamu tunaishi ukingoni kabisa mwa wakati, siku zile ambazo Bwana Yesu alisema upendo wa wengi utapoa duniani kwasababu ya kuongezeka kwa maasi¬†(Mathayo 24:12)¬†Ndizo tunazoishi sasa. Sasa Upendo unaozungumziwa hapo sio tu upendo wa ndugu, bali pia upendo wa kumpenda Bwana utapoa … Continue reading MWISHO WA HAO WAMSAHAUO MUNGU.