USITAFUTE FAIDA YAKO MWENYEWE BALI YA WENGINE.

1 Wakorintho 10:23 “Vitu vyote ni halali; bali si vitu vyote vifaavyo. Vitu vyote ni halali; bali si vitu vyote vijengavyo 24 Mtu asitafute faida yake mwenyewe, bali ya mwenzake. 25 Kila kitu kiuzwacho sokoni kuleni, bila kuuliza-uliza, kwa ajili ya dhamiri; 26 maana, Dunia ni mali ya Bwana na vyote viijazavyo.” Hapo biblia inasema “vitu vyote ni halali” … Continue reading USITAFUTE FAIDA YAKO MWENYEWE BALI YA WENGINE.