MATUMIZI YA DIVAI.

Shalom, Jina la Bwana wetu Yesu Kristo, libarikiwe. Karibu tujifunze Neno la Mungu Kama inavyojulikana na wote kuwa Divai ina kilevi…Lakini swali linakuja kama ina kilevi kwanini Bwana Yesu aligeuza maji kuwa Divai, na kwanini Divai ilitumika katika kushiriki?..hata wakati wa kanisa la kwanza, ilitumika katika kushiriki meza ya Bwana?..Na je! Mpaka leo ni sahihi … Continue reading MATUMIZI YA DIVAI.