HATUA ZA ROHO MTAKATIFU KATIKA KUTUONGOZA.

Jina la Bwana Yesu Kristo, libarikiwe… pamoja na kazi nyingine nyingi anazozifanya Roho Mtakatifu juu ya mtu aliyemwamini Yesu Kristo, nyingine ni kumwongoza katika kuijua kweli yote…Hilo tunalisoma katika.. Yohana 16:13“ Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote; kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atayanena, na … Continue reading HATUA ZA ROHO MTAKATIFU KATIKA KUTUONGOZA.