Hamjui ya kuwa mtawahukumu malaika? Ina maana gani?

Biblia inaposema hamjui ya kuwa mtawahukumu malaika? ” Swali ni Je! sisi tutawahukumu vipi Malaika?. 1Wakorintho 6:2 Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! Hamstahili kukata hukumu zilizo ndogo? 3 Hamjui ya kuwa mtawahukumu malaika, basi si zaidi sana mambo ya maisha haya? JIBU: Watakatifu wamefananishwa na BWANA … Continue reading Hamjui ya kuwa mtawahukumu malaika? Ina maana gani?