Kuna ufufuo wa aina ngapi?

JIBU: Biblia inasema kuna ufufuo wa aina mbili, Ufufuo wa kwanza, umejumuisha wale watakatifu waliofufuka na Bwana Yesu ukisoma (Mathayo 27:52) utaona..,pamoja na watakatifu watakao fufuka katika unyakuo, na watakao fufuliwa wakati wa kuingia kwenye ule utawala wa miaka 1000 (Ufunuo 20:4) haya ni makundi matatu yanayotengeneza aina ya kwanza ya ufufuo.   Ufunuo 20:6 … Continue reading Kuna ufufuo wa aina ngapi?