Je! msalaba kaburini una umuhimu wowote?
SWALI: Ule msalaba unaowekwa kwenye kaburi, na ile ibada inayofanywa vina umuhimu wowote kwa mkristo? JIBU: Inategemea hiyo ibada inayofanywa ina maudhui gani, kama ibada imelenga kumwombea huyo mfu hayo ni makosa mbele za Mungu, lakini kama imelenga kushukuru au kuwafundisha na kuwaonya watu waliosalia ambao bado wanaishi, kuhusu mwanzo wa safari yetu hapa duniani … Continue reading Je! msalaba kaburini una umuhimu wowote?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed