Je! sisi ni wafalme na makuhani kwa namna gani?
SWALI: Yohana hapa anasema Bwana ametufanya kuwa Ufalme na Makuhani Ufunuo1:6 …(Sasa hapa anamaanisha sasa hivi sisi ni wafalme na makuhani au ni katika ule umilele ujao?) na je! ni sahihi kumuita mwanamke kuhani?? JIBU: Ndio sasahivi sisi ni ufalme na makuhani wa Bwana katika roho,..kama vile Bwana Yesu alivyokuwa duniani tangu siku za kuzaliwa kwake mpaka … Continue reading Je! sisi ni wafalme na makuhani kwa namna gani?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed