Biblia ituambia tusalimiane kwa busu takatifu. Hili busu ndio lipi?

SWALI: 1 Petro 5:14 Biblia inasema …“Salimianeni kwa BUSU LA UPENDO. Amani na iwe kwenu nyote, mlio katika Kristo. ”….Hapo ana maana gani?