Bwana alimaanisha nini kusema “waache wafu wazike wafu wao.(Mathayo 8:21)?

JIBU: Ili kufahamu vizuri hii habari turudi kidogo kwenye historia ya Wayahudi katika shughuli zao za mazishi, Kumbuka Waisraeli walivyozika zamani sio kama wanavyozika leo, leo hii mtu akifa wanamvisha sanda,(katika baadhi ya tamaduni) kisha wanamfukia chini bila jeneza, na shughuli inakuwa imeisha, lakini zamani, haikuwa hivyo katika tamaduni zao, kwanza makaburi yalikuwa sio ya kuchimbwa … Continue reading Bwana alimaanisha nini kusema “waache wafu wazike wafu wao.(Mathayo 8:21)?