Je! Mungu anaupendeleo kwa wanaume zaidi ya wanawake?

JIBU: Ndivyo inavyodhaniwa na wengi, hususani linaposomwa lile andiko lisemalo 1Timotheo 2:13 “Kwa maana Adamu ndiye aliyeumbwa kwanza, na Hawa baadaye.” Maneno hayo yanathibitisha kuwa Adamu ndiye aliyepewa kipaumbele cha kwanza kuliko mwanamke..   Lakini ifahamike kuwa Mungu ni Mungu wa utaratibu. Tunapotaka wote tufanane, wote tuje kwa wakati mmoja, na wote tuwe na mamlaka … Continue reading Je! Mungu anaupendeleo kwa wanaume zaidi ya wanawake?