Ni uthibitisho upi unaoonyesha kuwa kuna MBINGUNI na KUZIMU?

JIBU: Ili kupata jibu ya swali hilo, ni vizuri pia tujiulize baadhi ya maswali ambayo ni rahisi kabisa kuyajibu yanayoonekana katika maisha yetu ya kila siku. Tuchukulie mfano Leo hii nikimuuliza daktari je! Utanithibitishiaje kuwa kama kuna kitu kinachoitwa kirusi au bacteria.?.. Tunafahamu hataniita na kuniambia angali kwa makini utaviona hewani , vikielea, vinginevyo nitamuona ni … Continue reading Ni uthibitisho upi unaoonyesha kuwa kuna MBINGUNI na KUZIMU?