Nini maana ya Kipaimara?..Na je! Ni jambo la kimaandiko?
Nini maana ya Kipaimara?..je watu wanaweza kupokea kipawa cha Roho Mtakatifu kwa kuwekewa mikono na kwa kupitia mafunzo fulani ya kipaimara? JIBU: Kipaimara ni Neno lenye maana ya “uthibitisho”…Neno hili linatumika katika madhehebu baadhi kama vile Katoliki, Orthodoksi na Anglikana kama kanuni muhimu ya ukristo..Kwamfano Kanisa Katoliki lina kanuni saba za kufuata wanazoziita Sakramenti. Kwahiyo kipaimara Ni moja … Continue reading Nini maana ya Kipaimara?..Na je! Ni jambo la kimaandiko?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed