Shetani anatolea wapi fedha, angali tunajua Fedha na dhahabu ni mali ya Bwana?.

SWALI: Watu hawa wanao mtumaini shetani na kupata utajiri na Mali, shetani anavitoa wapi?, Na wakati Neno linasema Mali na fedha na dhahabu ni vya Mungu?, Wakolosai 1 :16-17 je shetani anavichukuaje kwa Mungu na kuwapa watu hawa, ingali yeye hana vitu?Je! shetani ana Mali, fedha na dhahabu anavyowapa watu wanaomwabudu?. JIBU: Ni kweli fedha na dhahabu … Continue reading Shetani anatolea wapi fedha, angali tunajua Fedha na dhahabu ni mali ya Bwana?.