Nitajuaje kama ndoto ni ya Mungu au ya Shetani?
JIBU: Maarifa yanayohusiana na ndoto ni mapana kidogo, lakini kwa ufupi, zipo ndoto za aina tatu, 1) Ndoto zinazotokana na shughuli (Mhubiri 5:3): hizi ndio mara nyingi zinamjia mtu, kwamfano mtu alikuwa anafanya shughuli fulani siku nzima na usiku anapolala bado anaota anaifanya ile shughuli au anaota mambo yanayoendana na jambo ambalo amekuwa akijishughulisha … Continue reading Nitajuaje kama ndoto ni ya Mungu au ya Shetani?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed