Dini ni nini, na Imani ya kweli ni ipi?

Dini ni nini? Dini ya kweli ni ipi? na Imani ya kweli ni ipi? Dini ni tendo linalotokana na Imani fulani (mambo ya rohoni), pale tu mtu anapoamini uwepo wa Mungu au hata uwepo wa shetani au hata kitu chochote kisichoonekana cha kuabudiwa basi hapo hapo dini inazaliwa, ndipo hapo utaona mtu anajiwekea ┬ámiiko Fulani … Continue reading Dini ni nini, na Imani ya kweli ni ipi?