Yesu kwetu ni rafiki, hwambiwa haja pia;tukiomba kwa Babaye, maombi asikiyaLakini twajikosesha, twajitweka vibaya; kwamba tulimwomba Mungu, dua angesikia. Una dhiki na maonjo? Una mashaka pia.Haifai kufa moyo, dua atasikia.Hakuna mwingine mwema, wa kutuhurumia;atujua tu dhaifu; maombi asikia. Je hunayo hata nguvu, huwezi kwendelea,ujapodharauliwa, ujaporushwa pia.Watu wangekudharau, wapendao dunia,hukwambata mikononi, dua atasikia. Je! unajua historia … Continue reading YESU KWETU NI RAFIKI
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed