Mpaka umefikia kuuliza hili swali, naimani ni mtu unayependa kuabudu kitu unachokifahamu..Na pia naamini unapouliza dini ya kweli ni ipi unamaanisha kuwa ni Imani ipi ya kweli..Leo duniani zipo dini zaidi ya 4300 zinazofuatwa na wengi, hiyo ni mbali na madhehebu na vikundi vidogo vidogo, vikihesabiwa na hivyo hata laki vinafika..Na kila moja inadai kuwa … Continue reading Dini ya kweli ni ipi?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed