IPO NGUVU ITUVUTAYO KWA KRISTO, ITHAMINI!.

Kuna nguvu ya kipekee sana, inayoendelea duniani kote leo, hiyo inawavuta watu kwa Kristo, Nguvu hiyo ni nguvu ya Roho Mtakatifu, inazungumza mioyoni mwa watu, ikiwashawishi kuwavuta kwa Mungu. Nguvu hiyo ndio ile ile nguvu iliyokuwa inawavuta wale Wanyama kipindi cha Nuhu, waielekee Safina. Kipindi kifupi kabla ya gharika kushuka juu ya nchi, ghafla tu … Continue reading IPO NGUVU ITUVUTAYO KWA KRISTO, ITHAMINI!.