JE! UKIMWI UNATIBIKA?

Kwanza ni vizuri kufahamu kuwa hakuna jambo lolote linaloshindikana hapa duniani,  lakini habari mbaya ni kuwa yapo mambo mengi yanayotushinda sisi wanadamu, na hiyo ni kutokana na kuwa kwa namna moja au nyingine tumekosa kujua njia sahihi ya kutatua matatizo hayo au wakati mwingine kukosa maarifa ya kutosha juu ya tatizo husika, kwa mfano watu … Continue reading JE! UKIMWI UNATIBIKA?