JE BIKIRA MARIAMU ALIZAA WATOTO WENGINE?

Biblia imeweka wazi kuwa Mariamu, mama yake Yesu alikuwa na watoto wengine.. Mathayo 13:53 “Ikawa Yesu alipoimaliza mifano hiyo, alitoka akaenda zake. 54 Na alipofika nchi yake, akawafundisha katika sinagogi lao, hata wakashangaa, wakasema, Huyu amepata wapi hekima hii na miujiza hii? 55 Huyu si mwana wa seremala? Mamaye si yeye aitwaye Mariamu? Na nduguze … Continue reading JE BIKIRA MARIAMU ALIZAA WATOTO WENGINE?