KIELELEZO CHA MWANAMKE KATIKA NYUMBA.

Wanawake wamepewa na Mungu huduma kubwa sana, na huduma yenyewe ni ULEZI, Mungu aliiweke huduma hii ya kipekee kabisa kwa wanawake kwasababu alijua ikitumiwa ipasavyo italeta faida kubwa sana katika ufalme wake kuliko huduma nyingine yoyote.. lakini cha kusikitisha ni kuwa jambo hilo halitambuliki katikati ya wanawake wengi, wanadhani kuwa kulea ni jambo jepesi lisilo … Continue reading KIELELEZO CHA MWANAMKE KATIKA NYUMBA.