JE MUSA ALIFIA WAPI?

Jibu la swali hili tunalipata katika kitabu cha Kumbukumbu la Torati 34,  Kumbukumbu 34:1 “Musa akapanda kutoka uwanda wa Moabu mpaka mlima Nebo, hata kilele cha Pisga kukabili Yeriko. Bwana akamwonyesha nchi yote ya Gileadi hata Dani; 2 na Naftali yote, na nchi ya Efraimu na Manase, na nchi yote ya Yuda, mpaka bahari ya … Continue reading JE MUSA ALIFIA WAPI?